ELIMU YA MSINGI YA LISHE

UTANGULIZI Mwili wa binadamu unahitaji lishe bora ili uweze kuwa na afya njema LISHE NI NINI? Lishe ni mchakato unaohusisha hatua mbalimbali za jinsi mwili unavyotumia chakula kilicholiwa ili kuupatia afya bora. Hatua hizi ni tangu chakula kinapoandaliwa, kinapoliwa jinsi mwili unavyokisaga na kukiyeyusha na hatimaye kufyonza virutubishi na kutumika mwilini. CHAKULA NI NINI? Chakula …

ELIMU YA MSINGI YA LISHE Read More »